Huduma za Float
Tunasaidia mawakala kupata float kwa wakati ili huduma za kifedha ziendelee bila kukwama.
Float ya uhakika. Mawakala makini. Huduma za kifedha.
Tunasaidia mawakala kupata float kwa wakati, kupata mwongozo wa huduma, na kujiunga kwenye mtandao wa mawakala wa Mixx by Yax Tanzania.
Tunachofanya
Done Deal Dealers ipo kwa mawakala na wateja wanaohitaji huduma za float, usajili, support na mwongozo wa kujiunga kwenye mtandao wa Mixx by Yax Tanzania.
Tunasaidia mawakala kupata float kwa wakati ili huduma za kifedha ziendelee bila kukwama.
Tunasajili na kuelekeza mawakala wapya wa Mixx by Yax Tanzania kulingana na eneo na mahitaji.
Tunatoa msaada wa maswali, changamoto za huduma, na ufuatiliaji wa maombi ya wakala.
Kila eneo lina group la WhatsApp kwa updates za float, recruitment na taarifa za huduma.
Kwa nini sisi
Mwongozo wa kupata float na kutumia huduma kwa ufanisi.
Usajili na onboarding kwa mawakala wapya wa Mixx by Yax Tanzania.
Ufuatiliaji wa maombi, support tickets na maoni ya wateja.
Nunua Float
Tuma ombi la kununua float kwa ajili ya huduma za wakala. Mfumo utatengeneza control number na kuihifadhi kwenye database kwa ufuatiliaji.
Utaweka kiasi, simu na bank, kisha mfumo utagenerate control number yako.
Buy FloatCharting
Data hii inaweza kutoka MySQL kupitia API: float, usajili wa mawakala, support na maoni.
Hotline
Maombi ya float na usajili wa mawakala.
Upatikanaji wa float na ufuatiliaji wa miamala.
Msaada kwa mawakala na huduma za wateja.
Gallery
Mchakato
Tueleze kama unahitaji float, support au kujiunga kama wakala mpya.
Tunapitia taarifa zako na mahitaji ya huduma kulingana na eneo lako.
Tunakupa hatua za float, usajili, au support unayohitaji.
Tunabaki karibu mpaka ombi lako limekamilika na kupata mrejesho.
Forum
Uliza kuhusu upatikanaji wa float, mahitaji ya wakala na support.
Events
Jifunze kuhusu float, huduma kwa wateja na ukuaji wa wakala.
Kutana na timu na ulete maombi ya kujiunga kama wakala.
"Tunapenda huduma iliyo wazi: wakala apate float, support na taarifa sahihi kwa wakati."
Done Deal Dealers Team
Customer Support
Toa Maoni
Branches
WhatsApp Groups
Float, support na recruitment ya mawakala Dar es Salaam.
Updates za float na recruitment ya mawakala kanda ya kaskazini.
Float, support na taarifa za mawakala kanda ya ziwa.
Anza sasa
Tuma maelezo yako. Tutakurudia kwa hatua za huduma, float au recruitment ya wakala.
Partners
ABSA
CRDB
NMB
PBZ
Equity
NBC